KASMA

990

由 KADDY AMANI 使用 Suno AI

KASMA
v4

@KADDY AMANI

KASMA
v4

@KADDY AMANI

lyrics
Couplet...alleeeeee KASMA DEBANDE ..
Siku mingi muli chunga niwa tambulishe Ule mtu mwenye moyo wangu unapenda Leo sasa ame fika mbele yenu apa nandoo uyu Ana chunga moyo wangu Mungu baba asante sana kwa ku Nipata mtu uyu ata chunga familia yangu Baba mama muye sasa Mumu one eeeeh molah umulinde mpenzi wangu Ile tabiya njema yote Mulinipata nilizani munaribu Kumbe muna jenga leo iyi Na anza familia yangu sasa mimi na mpenzi wangu Sina kitu kile kienye mimi nita wapa Mi na omba ombi langu tu kwa Mungu Baba ami chunge pia tena amiongezee Pale pale mulipotosha Muna panga nini sasa bicha ya Familia mtu muli chunga ndoo uyu Ame fika kipenzi cha moyo wangu Na mpendaaaa Refrain.. Mina wewe Leo nikufunga ndoa Nikufunga ndoa mi Na wewe ndoa Nikufunga ndoa Mina wewe Leo nikufunga ndoa Nikufunga ndoa mi Na wewe ndoa Nikufunga ndoa Couplet... Muda wetu siku yetu ime fika leo Wena mimi sasa ni kufunga ndooa baba yako baba yangu leo wana cheka Mama yako mama yangu leo wana cheza Ona vile ndugu zetu leo wana cheza Wema mimi kuvikana pete una ona furah leo ya kupendwa Tuna kuya kwa Mungu baba Atubariki apa sasa nime anza familia na we tuna Chunga zawadi ya Mungu baba Ile yenye ame tuandaliya ee Ya wa toto Tuna piga goti mbele Yako Mungu baba tuna kuya Kwako ubarikiye ndooa yetu Tume achana leo na wazazi wetu Tuna anziisha yetu familia sasa Mungu baba ubarikie ndooa yetu Refrain.... Mina wewe Leo nikufunga ndoa Nikufunga ndoa mi Na wewe ndoa Nikufunga ndoa Mina wewe Leo nikufunga ndoa Nikufunga ndoa mi Na wewe ndoa Nikufunga ndoa
音乐风格
IGBO_GYRATION_X_OGENE_HIGHLIFE_TYPE_BEAT_INSTRUMENTAL_2025__OCHA___IGBO_NIGERIAN_HIGHLIFE_BEATS

你可能会喜欢

歌曲的封面For The Man Behind The Boards
v5

由 GromekEssex 使用 Suno AI 创建

歌曲的封面Под настроение
v4

由 Юзеф Лившиц 使用 Suno AI 创建

歌曲的封面EQUIPE DO LANCHE
v4

由 Edmilson Santos 使用 Suno AI 创建

歌曲的封面Waiting For U
v4

由 Mia Bujak 使用 Suno AI 创建

相关播放列表

歌曲的封面Узкая дверь
v4

由 Susanna Oganesyan 使用 Suno AI 创建

歌曲的封面Türkmen Sahra
v4

由 Baset Mehrnia 使用 Suno AI 创建

歌曲的封面يا رب خذني
v4

由 علي معلا 使用 Suno AI 创建

歌曲的封面Ullam valikkuthey
v4

由 Omni Status 使用 Suno AI 创建