Mwami
v4

@Kalonda Hamis

Mwami
v4

@Kalonda Hamis

가사
“Mwami wa Watombwe, Mlinzi wa Mila na Sheria”

Ehee… ehee eee!
Mwami weto, Mwana wa Batombwe,
Mlinzi wa mila, mlinzi wa ardhi,
Katiba imetamka — tunakutambua!
Mwami weto… mwanga wa jamiii ya Watombwe!

Mwami wa Watombwe, chimbuko la heshima,
Article mia mbili na saba, inasema wazi kabisa,
“Mamlaka ya jadi, ni taa ya taifa,”
Wewe ni mwongozi, uliyesimikwa na desturi zetu.

Ehee… ehee eee!
Mwami weto, Mwana wa Batombwe…

Katiba yasema, serikali haikuchagui,
Wewe wachaguliwa na damu ya mababu, na baraza la wazee.
Article mia mbili na nane, shahidi wa ukweli,
“Mwami huwekwa kwa desturi, na wala siyo kwa amri ya serikali.”

Wewe mlinzi wa ardhi ya mababu, katika udongo wa Batombwe,
Mlinda mipaka, msimamizi wa miti, mito, milima na Mali zote za Watombwe.
Utamaduni upo mikononi mwako.
Usuluhishi wa migogoro, amani ya vijiji vyetu vya Watombwe.

Wakati serikali ya wilaya inapita, wewe ni sauti yetu,
muwakilishi wa Watombwe, kwenye mabaraza ya utawala,
Mwami wa Watombwe, daraja kati ya mila na nchi,
Utaifa ndani ya mila, mila ndani ya taifa.

Twende pamoja na Mwami wetu, watoto wote wa Batombwe,
Heshima ya Mwami ni heshima ya ukoo.
Katiba imetambua, mila imethibitisha,
Mwami wetu… mwanga wa amani!

Ehee… ehee eee!
Katiba imetamka — tunakutambua!
Mwami wetu, fahari ya Batombwe!
음악 스타일
Male Voice

당신은 좋아할 수도 있습니다

노래 표지 Moja Walka
v4

Suno AI을 사용하여 Adi Janek에 의해 생성됨

노래 표지 အောက်လမ်းဘိုးထင်
v4

Suno AI을 사용하여 Yan Lay에 의해 생성됨

노래 표지 Aniversário Vini
v4

Suno AI을 사용하여 Isabel Silva에 의해 생성됨

노래 표지 Kör Mig Hem
v4

Suno AI을 사용하여 TwistedFister에 의해 생성됨

관련 재생목록

노래 표지 Kemény
v4

Suno AI을 사용하여 Deni Deni에 의해 생성됨

노래 표지 Cada voz conta
v4

Suno AI을 사용하여 Amélia Rainho에 의해 생성됨

노래 표지 О любви
v4

Suno AI을 사용하여 Vahtang Roshal에 의해 생성됨

노래 표지 Голгофа
v4

Suno AI을 사용하여 Роман Кобизев에 의해 생성됨