sikutarajia
v4

@KINDA BARBEL

sikutarajia
v4

@KINDA BARBEL

가사
yeee iye, iye aaaahx2
naitwa dah roxy.

chorus
sikutarajia... mammaaaa.
kama unge nitendea hayaaaa,
moyo wangu nilikupa hawaaa,
ila ukautelekeza,

kukurudia sitoweza,,sitoweza
dah roxy sitoweza,x2


verse 1
nilipo kuona mwanzoni, machoni ulinivutia.
nikadhani nime wini, na ndani nikajitia.
sikujua nicha wageni, na hata wapita njia.
kutwa kucha vibarazani, wageni kuwangojea.
ili uwape hisani, na huku ukiwapokea.
ulivyo nizalilisha mimi, nikikumbuka mazoeya.
nijua kwa kweli, mwenzangu umeniumbua.
aibu ulo nivika, kila mja yuwa ijua.


chorus
sikutarajia... mammaaaa.
kama unge nitendea hayaaaa,
moyo wangu nilikupa hawaaa,
ila ukautelekeza,

kukurudia sitoweza,,sitoweza
dah roxy sitoweza,x2


verse 2
penzi lako la ashiki, lilinitia uchizi.
nikawa simakiniki, bila wewe mpumbazi.
na nilipo kuweka ndani, si ulizani ni utani.
ukanza purukushani, kuniletea mwafulani.
mwisho ukaamua, kunitelekeza mimi.
wala usifikirie kwamba mi nakutamani,
eti nitapo itaka amani, turudi kama zamani.
nije kukuangukia, nikuombe samahani.
yanini nili kosa nini,
bora kuvuta neli, kukuona tena sitamani.


chorus
sikutarajia... mammaaaa.
kama unge nitendea hayaaaa,
moyo wangu nilikupa hawaaa,
ila ukautelekeza,

kukurudia sitoweza,,sitoweza
dah roxy sitoweza,x2


bridge
ulichezea shilingi kando ya shimo.
hivi sasa imekuponyoka kwenye mikono imekuwa soo
yale ulio nitenda mami we waweza go,
nami nakupa kisogo, nyuma ndio sirudi ng`ooo

verse 3
ulinitia tamaa, kua nitaishi nawe
ndipo nikawa na furaha, na ovu sikuzania.
kumbe ulinihadaa, unae umpendae.
ukaja kuniambia, mimi nawe tuwachane.
ukawa huna huruma, hutaki turudiane.
hivi sasa unatamani, mimi nawe turudiane
nilipokugusia, mwenzangu ukapuuza.
ukaniandama kwa siri, mwisho ikawa dhahiri.
ulio tenda si siri, mwenzio nimetafakiri.
nikaweka naziri, kuziziba zangu siri
ila bado ukanikejeli,
mitaani ukaniaziri, eti mimi sina dili
sasa nikupe nini, ili unisamini.
bora kuvuta ganja, ila kukuona tena sitamani.


chorus
sikutarajia... mammaaaa.
kama unge nitendea hayaaaa,
moyo wangu nilikupa hawaaa,
ila ukautelekeza,

kukurudia sitoweza,,sitoweza
dah roxy sitoweza,x2
음악 스타일
Rap, Sadness, Male Voice, 80-120 BPM

당신은 좋아할 수도 있습니다

노래 표지 рандеву
v4

Suno AI을 사용하여 Vahtang Roshal에 의해 생성됨

노래 표지 Tình Đất Gọi Tên Người
v4

Suno AI을 사용하여 Oneforall에 의해 생성됨

노래 표지 lovisa och hilma
v4

Suno AI을 사용하여 Hilma Löw에 의해 생성됨

관련 재생목록

노래 표지 Весёлая
v4

Suno AI을 사용하여 My lovely Relax Music에 의해 생성됨

노래 표지 Ritorno a Plagaride
v4

Suno AI을 사용하여 Zae Phkiel에 의해 생성됨

노래 표지 DEC 2
v4

Suno AI을 사용하여 jean pierre le duvehat에 의해 생성됨