เนื้อเพลง
classic music
wananiita cholloh kan
mmmmmh
mapenzi kweli ni matamuu
kupenda kwingine sina hamu
Mnganga wako baiby nimtaalamuu
Sijawahi penda hivi
kweli kupendwa rahaa
JAMANI NYIE KUPENDWA RAAA
Mwenzenu mimi napendwa nanenepaa
Pole dr Exe ulijua ukiniacha ntavabaa
Mpeni taarifa kua mashaallah nanenepaa
[COURAS]
OOH kan napendwa me
mmmh
Mwenzenu napendwaa me
napendwa nachanganywa na haya marahaaa
.................................................
huuuuuuhuu kan napendwaa me
OYAA
Pole tena ulie jua nta vabaa
Soon Muhuni ntaitwa babaaa
Sulikimbia ulivyo ona life limekabaa
mmmh limekabaa...liiiimekabaaaa kaba kabaa ONAAA
[COURAS]
OOH kan napendwa me
mmmh
Mwenzenu napendwaa me
napendwa nachanganywa na haya marahaaa
.................................................
huuuuuuhuu kan napendwaa me
mmmh cholloh kan tenaaaa