mmmmmh mapenzi kweli ni matamuu kupenda kwingine sina hamu Mnganga wako baiby nimtaalamuu
Sijawahi penda hivi kweli kupendwa rahaa JAMANI NYIE KUPENDWA RAAA Mwenzenu mimi napendwa nanenepaa Pole dr Exe ulijua ukiniacha ntavabaa Mpeni taarifa kua mashaallah nanenepaa
[COURAS] OOH kan napendwa me mmmh Mwenzenu napendwaa me napendwa nachanganywa na haya marahaaa ................................................. huuuuuuhuu kan napendwaa me
OYAA Pole tena ulie jua nta vabaa Soon Muhuni ntaitwa babaaa Sulikimbia ulivyo ona life limekabaa mmmh limekabaa...liiiimekabaaaa kaba kabaa ONAAA
[COURAS] OOH kan napendwa me mmmh Mwenzenu napendwaa me napendwa nachanganywa na haya marahaaa ................................................. huuuuuuhuu kan napendwaa me