Heat kali town zipo kwenye plat4m,trends za town utazipata kwenye pla4m,michongo ming utaipata kwenye plat4m,haf na nyanza fm kuna plat4m Yeah boys and girls lades and gentlemen,vijijin mpaka town,haijalish unafanya nn,unajua radion kuna nn,the plat4m kpnd cha mfano,ikuru ya burudan ila co chamwino,singeli michano ama mapiano,hapa yanapigwa sana tena mno,