Mwana Amekuja

1047

Nhạc được tạo bởi Edwin Nyanginywa bằng Suno AI

Bìa bài hát Mwana Amekuja
Mwana Amekuja
v3.5

@Edwin Nyanginywa

Bìa bài hát Mwana Amekuja
Mwana Amekuja
v3.5

@Edwin Nyanginywa

Lời bài hát
[Verse]
Leo nisiku njema amezaliwa mwokozi
Kwa kuzaliwa kwake nasitumepona nasileo
Tuzaliwe naye upya mwanawamungu
Amekuja kutukomboa wewenimungu
[Chorus]
Wambingu na Dunia sifazakezote
Twampatia Yeye haleluyaah
Nuru imekuja giza limeondoka
Kwa mshangao mkubwa sote tuseme
[Bridge]
Twakuwa pamoja naye kila siku milele
Upendo na furaha vitutawale
Hakuna kilicho kigumu kwake
Kila siku tutakua tukimsema
[Verse 2]
Leo ni siku ya furaha tusisitwazime
Maishayetu yametukuka sote tuungane
Kwa kuzaliwa kwake tunapata nguvu tena
Kwake tunakimbilia kila mara twafurahia
[Chorus]
Wambingu na Dunia sifazakezote
Twampatia Yeye haleluyaah
Nuru imekuja giza limeondoka
Kwa mshangao mkubwa sote tuseme
[Verse 3]
Katika kila hatua sisi tusimama naye
Kwa upya wa mapezi yake tuangalie juu
Tutembee na imani tukimpa utukufu
Kila siku twampa yeye heshima zote haleluya
Phong cách âm nhạc
rhythmic inspiring afrobeat

Bạn có thể thích

Danh sách phát liên quan

Bìa bài hát Hallelujah
v4.5

Được tạo bởi Gyöngyi Szakácsné Với Suno AI

Bìa bài hát Shaolin do Velho Oeste
v4.5

Được tạo bởi Djan Lima Souza Với Suno AI

Bìa bài hát 向你投降
v6 Mini

Được tạo bởi Milo Với Suno AI