Pi ni mapinduzi makubwa ya Kiuchumi Tanzania Afrika na Dunia nzima.
Hongereni sana kwa Mradi huu na Hongera sana Nicolous Kokkalis
Hongera sana dada wa GCV Doris Yin na Leo tuna thamani ya Dola laki tatu na kumi nne elfu na hamsini na tisa.
Hongereni mabalozi wote wa GCV na Ma pioneers woote.
Tusheherekeeeee sote... Vigeleeeeeeeeee