Nataka nikupe ushauri Husen Kipingu unacho kisema sio poa we ulisema akizaa mtoto anapua kubwa anakunywa supu anapenda kuimba nyimbo ya kuuuuumbe sinduna siiio mtoto kuuuuumbe sinduna ni joka kubwaaa hahaha ujamaliza kuzaaa ukimsema anasema wewe jau mwanetu stanso hujamaliza kuzaaa mtoto wa mwanamke mwenzaakoo usimfanyie ivooo utakufa vibaya wewe nakuonea huruma