Naomba nipigie mapiano kaali kuhusu Stephan na rafiki yake Hussen Kipingu ambaye kwa jina maarufu clever anapenda kusema watoto wa kike wabaya wanasura kama sinduna na anapenda kusema watoto wa wenzake lakini ye bado haja zaa na alisema akizaa nae mtoto akiwa na pua kubwa anakunywa supu ni mtu wa utani sana